Naombeni ushauri nataka kununua gari aina ya Toyota Wish au Toyota I.S.T

Mwamgunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
247
48
Rejea mad husika wapendwa, bajeti yang ni Milioni 17. Je, ni aina gani ya gari ninunue kati ya Toyota Wish na Toyota I. S. T kwaajili ya matumizi ya familia? Means imara, comfortable na isiyokula mafuta sana. Karibuni kwa ushauri!
 
Budget yako kubwa sana kuliko gari unalotaka epuka matapel wakiiona hii watakukimbilia..Budget kwa hayo magar ni 9-11.Nunua IST hutojuta
 
M 17 ? Duuuuuh as long ni choice yako izo gari nakushauri agiza yenye km chache utapata gari almost new IST
 
i.s.t duh ila hiyo hela ni kubwa sana .... uwe unafanya kauchunguzi hata ujue bei basi matapeli wengi.. kuna toyota ist nyeusi nauza mwaka 2002, DEQ , km 64000 bei miloni 12 kama upo tayar ipo dar es salaam upanga.
 
Budget hyo ni kwa ist new model kabsa...inatosha...ila kwa ist zile za kuanzi 2004 backward max price 12.
 
Agiza rav 4, ama nunua rav4 ndo gari nzuri kwa bajet yako inatosha. Tulia usiwe na haraka.
 
Inategemea na matumizi yako. Kama una familia isiyo na watt chini ya 3 ukijumlisha na housegal labda au ndugu go for wish coz unaweza pata 7seater. Ila kama ni matumizi yako tu au una familia ndogo go for IST. again kama wengine walivyokishauri 17m ni kubwa sana kwa hizo gari nilipata wish 7 seater ya 2005 ilikua na km 94000 mpka naitoa naiendesha mwenyewe pamoja na isurance na road licence ilifika 11.5M
 
i.s.t duh ila hiyo hela ni kubwa sana .... uwe unafanya kauchunguzi hata ujue bei basi matapeli wengi.. kuna toyota ist nyeusi nauza mwaka 2002, DEQ , km 64000 bei miloni 12 kama upo tayar ipo dar es salaam upanga.

Nahitaji hiyo gari. Nipe mawasiliano.
 
Back
Top Bottom