Habari za leo wadau. Nahitaji kujenga nyuma ya ghorofa moja ambayo nyumba ya chini na ya juu zinajitegemea i mean atakayekuwa anaishi nyumba ya chini na wa nyumba ya juu wakutane kwenye parking tu. Nyumba zifanane kwa kila kitu. Vyumba ya kukala vitatu good living room dinning and kitchen mengine ongeza kulingana na ujuzi na uzoefu wako. Ushauri pia unakubalika. Karibu