Ukiona mtu haweki bei.
Ujue kuna ujanja ujanja fulani hivi.
Labda ni original ila anataka auze kwa kupiga cha juu kwa wale wasiofahamu, au sio original kwahiyo anaziuza kisela.
Kama unauhakika na unachokifanya taja bei.
HAIWEZEKANI MTU UKAWA UNAUZA BIDHAA AU KITU AMBACHO UNA UHAKIKA NACHO HALAFU UKAPATA KIGUGUMIZI KUTAJA BEI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.