NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Habari zenu wakuu?Ninauza bidhaa tajwa hapo juu.Iko katika khali nzuri sana,Ninauza shilingi 50,000 ni cha antena.Hiki dukani kinauzwa 75000.Nimefikia uamuzi wa kuuza kwa kuwa ving`amuzi vyote sasa hata local chanel unabidi ulipie na familiya yangu inapenda cha azam kwa sababu ya entertainment sasa nakuwa nashindwa kuvilipia vyote.