Msaada: D4 VVTIA Toyota engine

Msaada: D4 VVTIA Toyota engine

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
643
Wakuu nimekuwa nikisoma kuwa engine za D4 si nzuri katika mazingira yetu. Sasa nimeona kuna gari zina D4 vtti. Naomba kujua kama hizi engine ni tofauti na D4
Asanteni
 
Wakuu msaada wenu tafadhali
Mfano gari kama toyota avensis engine zake zote zimeandikwa D-4 VVTI maana yake nini?
 
vtti hakunaga, nazani wamaanisha vvti
 
Wakuu nimekuwa nikisoma kuwa engine za D4 si nzuri katika mazingira yetu. Sasa nimeona kuna gari zina D4 vtti. Naomba kujua kama hizi engine ni tofauti na D4
Asanteni
Kuna uzi maalum kuhusu maswala ya magari ulianzishwa na Mshana Jr katika jukwaa la habari mchanganyiko.
Swala hili limejadiliwa kwa kirefu.
Tafadhali ingia huko
 
Back
Top Bottom