Natafuta fundi mzuri wa tiles

gayo

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
238
93
Habari ndugu mwana jamiiforum.
Natafuta fundi mzuri wa tiles aliyeko maeneo ya Dar. Kama unamfahamu au ni wewe tafadhali nitumie PM.
Zingatia sana lazima uwe umefanya kazi safi na unavifaa vyote muhimu vya kutendea kazi.

Asante
 
Ukimpata huyo fundi mkuu mwambie asije na saidia fundi mimi nipo naitaka ridhiki hiyo.......chonde chonde mkuu
 
Habari ndugu mwana jamiiforum.
Natafuta fundi mzuri wa tiles aliyeko maeneo ya Dar. Kama unamfahamu au ni wewe tafadhali nitumie PM.
Zingatia sana lazima uwe umefanya kazi safi na unavifaa vyote muhimu vya kutendea kazi.

Asante
Mkuu kama hujampata niambie nikuunge na kijana aliyenifanyia kazi yangu...hutajuta
 
Asante zamaulid. Tafadhali niunge naye kwa kuweka namba yake hapa au kunitumia PM
 
Fund madirsha ya aluminium glass npo kwa ujenz bora milango pia natengeneza call no +255 654 069 041 popote ulipo tutakufikia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom