faisal25003
New Member
- Jan 9, 2016
- 4
- 0
nauza noah 2004 kwa milion 9.0 gari nzuri sana plate namba B pia tunaweza kuzungumza.. 38749 Kilometers. nipo dar es salaam. kwa maelezo zaid ya picha sms.calls. whatsapp. tel 0716638618
sita ipo mfuko wa shatinauza noah 2004 kwa milion 9.0 gari nzuri sana plate namba B pia tunaweza kuzungumza.. 38749 Kilometers. nipo dar es salaam. kwa maelezo zaid ya picha sms.calls. whatsapp. tel 0716638618
sawa ntakutafutia ya sitasita ipo mfuko wa shati
Munawar anayo kama hiyo anauza 14 kama huna atakwambia PASUA
Huyu hapaMunawar ngoja aje amwagike povu!! Jamaa anafanya biashara kibabe
Pasua mkubwa wewe !!!! Kazi kuongea nyuma ya pazia tu !!!
Mimi Nina Noah namba B ? Hallucinations hiyo
Munawar ngoja aje amwagike povu!! Jamaa anafanya biashara kibabe
Chizi hilo arabu koko la mwenge
We nae huwa ni taahiraInternational business !!! Sitaki siasa na story kwenye biashara !!! Story kapige na sisimizi
We nae huwa ni taahira
Leo kituo gani cha polisi tutafutane???Substance abuse has affected you big time
Leo kituo gani cha polisi tutafutane???
kadi sasa tunapataje?Nauza yangu Noah Vox namba B lakini haina kadi nauza million sita.
sisi wengibe hatuna Whatsapp kwanini msituhabarishe kupitia JFNa mm nauza yangu mamba B Noah Vox lakini haina kadi