Vitabu vya Joram Kiango Sokoni kwa mara nyingine

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,675
Wanajamii forum, natumaini wote mu wazima wa afya....
Kwa mara nyingine tena, Napenda kuchukua fursa hii kutangaza vitabu vya Joram Kiango vinavyopatikana tena. Kuanzia tarehe 15 mwezi huu wa kwanza mwaka 2016, Kitabu cha TUTARUDI NA ROHO ZETU pamoja na MTAMBO WA MAUTI vitakuwa sokoni kwa bei ileile ya shilingi elfu 10,000 kwa kila copy moja.

Vitabu Vinavyopatikana mpaka sasa ni ROHO YA PAKA, MIKONONI MWA NUNDA, NAJISIKIA KUUA TENA, MIKATABA YA KISHETANI zote zikiwa ni mtiririko wa visa vya kusisimua vua mplelezi mashuhuri JORAM KIANGO. Tembelea duka la riwaya lililopo Kinondoni, Biafra, Ubungo Terminal darajani na Posta mbele ya Hd pharmacy.

Kwa wale wa mikoani pia tunawasifirishia nakala zao kwa njia ya bus ambayo gharama zake ni shilingi 5000 ama sanduku la posta ambayo gharama zake ni shilingi 3000.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0712504985 au 0763044459.

CC: peterchoka Jimena Ndakilawe Amorbwoy Kapo Jr Bujibuji David Hard PEZE Kirchhoff Nyamajeje red apple maph Deo Corleone Blueband Mark Hilary kifombocheza barige kaswiza90 shabiki mbere zhe kuwi mjasiriamali mdogo @gamaweshi bela Okol36 Dr Emma John IBRA 87 tomjelly Bukwabi myhem Donald Lema Zeddicus hamful Elijah Zee la Nyeti de otaru mkagulu original dam 55 Zekidon pafuada gamaweshi belo wanatamani bakakabebe kigongoi shumaa Nemesis Meljons salito Blaki Womani Master plan nyakubonga hawahamisi Bigjahman Ntigy NGANU charliehustler guasa ulimbaga plo lumumba jr ADK kiraia sam 2 watajua Playboy Da Pretty Kipaji Halisi skfull NYAREMA doper kimbewa ni leo tu kesho sipo Roram salito namwakalima Musomakwetu Shark's Style njang'et Rapha Meljons Ibrahim2b mangimeza Nasma24 Charles kikoti Yo Yo Mpita Njia DDT Shadow
nunda.jpg
najisikia.jpg
shetani.jpg
tutarudi cover.jpg
roho.jpg
mtambo cover.jpg
 
Last edited by a moderator:

nameless girl shukran nyingi kwa kutambua uwepo wa wadau cha muhimu ni upatikanaji wa vitabu hivyo kwani wengi tunapenda ila upatikanaji ndo unakatisha tamaa.Kuna siku za nyuma nilikuwa nawasiliana na brother ssabi masanja kuhusu mtiririko wa vitabu vya Eddie ganzel lakini kimekuwa kitambo sana sasa tunaomba muwe makini katika hilo.Pole kwa kuondokewa na mzee mchango wake tunauthamini.
 
Wanajamii forum, natumaini wote mu wazima wa afya....
Kwa mara nyingine tena, Napenda kuchukua fursa hii kutangaza vitabu vya Joram Kiango vinavyopatikana tena. Kuanzia tarehe 15 mwezi huu wa kwanza mwaka 2016, Kitabu cha TUTARUDI NA ROHO ZETU pamoja na MTAMBO WA MAUTI vitakuwa sokoni kwa bei ileile ya shilingi elfu 10,000 kwa kila copy moja.
Vitabu Vinavyopatikana mpaka sasa ni ROHO YA PAKA, MIKONONI MWA NUNDA, NAJISIKIA KUUA TENA, MIKATABA YA KISHETANI zote zikiwa ni mtiririko wa visa vya kusisimua vua mplelezi mashuhuri JORAM KIANGO. Tembelea duka la riwaya lililopo Kinondoni, Biafra, Ubungo Terminal darajani na Posta mbele ya Hd pharmacy.
Kwa wale wa mikoani pia tunawasifirishia nakala zao kwa njia ya bus ambayo gharama zake ni shilingi 5000 ama sanduku la posta ambayo gharama zake ni shilingi 3000.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0712504985 au 0763044459.
CC: peterchoka Jimena Ndakilawe Amorbwoy Kapo Jr Bujibuji David Hard PEZE Kirchhoff Nyamajeje red apple maph Deo Corleone Blueband Mark Hilary kifombocheza barige kaswiza90 shabiki mbere zhe kuwi mjasiriamali mdogo @gamaweshi bela Okol36 Dr Emma John IBRA 87 tomjelly Bukwabi myhem Donald Lema Zeddicus hamful Elijah Zee la Nyeti de otaru mkagulu original dam 55 Zekidon pafuada gamaweshi belo wanatamani bakakabebe kigongoi shumaa Nemesis Meljons salito Blaki Womani Master plan nyakubonga hawahamisi Bigjahman Ntigy NGANU charliehustler guasa ulimbaga plo lumumba jr ADK kiraia sam 2 watajua Playboy Da Pretty Kipaji Halisi skfull NYAREMA doper kimbewa ni leo tu kesho sipo Roram salito namwakalima Musomakwetu Shark's Style njang'et Rapha Meljons Ibrahim2b mangimeza Nasma24 Charles kikoti Yo Yo Mpita Njia DDT Shadow
Good news. Vipi kikomo, njama, operesheni sukuma namba nane,ukimuona mmalize vinapatikana. Navitafuta sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom