Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tembelea www.jumia.co.tz piga kuoda au uliza 0655756666 or 0759756666. Perfume zote ji original made in france. Usipokuta made in france usilipie. Karibu sanaaaa. y
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nyumba inauzwa mbagala sabasaba kwa mpili,ni nyumba ya nyumba vitatu na ina uwanja wa kujenga vyumba vingine ,bei yake mil 20 mawasiliano 0719891188
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani naomba kuuliza wapi naweza kupata neck massager Hapa dar Es salaam
0 Reactions
0 Replies
599 Views
nahitaji sana mafuta ya nazi (coconut oil) sio yale ya matumizi ya nje ya mwili kama vile kupaka bali yale ya matumizi ya ndani ya mwili kama vile kupikia ama kunywa. wapi yanapatikana jamani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina tecno Y6 Mpya Kabsa, Huawei Ascend 600 na Huawei Ascend 530, bei tecno Y6 Na Huawei 530 sh 130k na Huawei Ascend 600 sh160, call me 0714702720
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natafuta wire za speaker na remote za Sony Home theater home. Mwenye nazo anipm wakuu.
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Akinipiti media is company deals in multimedia & omputer consultancy in designing and writing Tv and Radio program Tunawakaribisha watu wote ili muweze kujipatia vipindi bora na vya kibishara ili...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Vip hal zenu.. Naomba kwa anae jua bei ya lg g4 mpya anijulishe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar zenu watanzania. Naomba kwa anaejua bei ya kioo cha galaxy s4 anijulishe. Nawatakia kila la kher
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nauza gari Nissan Primera rangi yake ni Maroun. Engine capacity ni 1990cc. Fuel: petrol Imported in 2012 from Japan .. No accident history Location.... Dar es salaam Price.. 9 millions...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Htc one m8-680k Htc one max-650k Htc one m7-380k Htc one x-270k Htc desire 816-500k Htc desire 500-280k Htc desire eye-730k Htc one sv-210k Htc one v-180k LG gflex-570k LG g3-580k LG G2-380k...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Shirika la ndege la taifa la umoja wa falme za nchi za kiarabu la Etihad limefurahishwa na ufanisi na utendaji wa operesheni zake kwa mwaka wa 2015 zilizowafanikisha kufikia malengo yao ya ukuaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mpya kabisa wasiliana na 0755344461, bei 2millions
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba ina chumba1, sebule, jiko na choo! Zipo ndani ya fence parking ya kutosha ni apartments! Kodi 250000 kwa mwezi! Ni mpyaaa!
0 Reactions
5 Replies
4K Views
VIWANJA/PLOTS ZENYE UKUBWA WA SIZE TOFAUTI TOFAUTI ZINAUZWA ,SIZE YA MWISHO NI 18M X 18M NA KUENDELEA..BEI NI MAELEWANO,ENEO PAME PIMWA NA KILA PLOTS INA BARA BARA YAKE.ENEO NI TAMBARARE NI...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
ERA Teachers' College Je., wewe ni mtanzania mwenye kuhitaji kujiendeleza kimasomo na kuweza kuwa miongoni mwa watu wenye kujihakikishia nafasi ya ajira?? Courses zitolewazo ni, Ordinary diploma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba IPO kijichi Temeke INA vyumba self 1, room 2, sitting na dinning room, fensi, maji pamoja na tank IPO barabarani na umbali wa mita 100 kutoka stendi ya daladala. Kodi laki 3 kamili...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Nimedunduliza pesa ya kuweza kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda ila nimefanya uchunguzi mdogo kwa watu wachache wanasema ninunue pikipiki za sanlg/sunlg ... Je ni pikipiki gani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauza toshiba laptop iko katika hali nzuri Toshiba core i3 ram 4gb.. processor 2.56ghz... hdd 500 Bei 400,000 Ntafute kupitia 0758728258
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Habari wana jukwaa! Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sebule, jiko, vyumba atleast kuanzia viwili kimoja kiwe master, na public toilet. Iwe maeneo ya ubungo, kimara au mbezi. Isizidi laki mbili...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…