nahitaji sana mafuta ya nazi (coconut oil) sio yale ya matumizi ya nje ya mwili kama vile kupaka bali yale ya matumizi ya ndani ya mwili kama vile kupikia ama kunywa. wapi yanapatikana jamani?
Hayo unayo yataka ww yanapatikana kwa oda tena vizuri wakati yanatengenezwa uwepo, coz hata nazi zinazo tumika ni nazi fresh.
Ndio maana nikauliza unahitaji kiasi gani sababu yanagharama kidogo ukizingatia hiko ni chakula usafi unaitajika..... Kinyume chake angalia usije ukauziwa mafuta yaliyo tengenezwa na nazi mbovu zilizo okotwa kwenye shimo la kariakoooo.......!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.