Natafuta Brevis A250, kwa 8mil

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,778
Wazee habari. Nataka kununua Brevis yenye namba D, isiwe nyeupe na haijawahi pata ajali yoyote. Kama kuna mwenye nayo anifahamishe. Bei isizidi 8,000,000/=
 
ha ha ha 8M namba D/ hata namba D ya passo hupati kwa bei hiyo..tumia akili sio jeuri
It is just a matter of time, nyingi zimepakiwa baada ya magufuli kuwachomoa kwenye madili. Am Serious.
 
ha ha ha 8M namba D/ hata namba D ya passo hupati kwa bei hiyo..tumia akili sio jeuri
Passo sasa hivi za mkononi zenye nmba D hazizidi 4mil. Ukiuziwa zaid ya hapo umepigwa
 
HAKUNA Mnunuzi Hapo!! MTEJA Wenyewe Nyodo Kibao, Huku Pesa Yenyewe Ni Ya Mawazo!!! BEI Ya Million 8 Na Conditions Hizo, Labda Aende Showroom Tu!!! Au Aagize Wenyewe Toka Japan!!
 
Zipo kibao. Is just a matter of time.
hii gari inaendana na million 8 hii?!
Toyota_Brevis.jpg
 
Back
Top Bottom