Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu wa Nchi natafuta side mirror ya landcruaser Prado upande wa kushoto. Ni Prado TX mawasiliano +255788860898 please hata kama imetumika wakuu .Niko Arusha Tanzania,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, nauza mashuka pure cotton mazuri sana na hayachuji, 35kwa pic 1ya 6*6na foronya mbili, na 70,000 kwa mashuka 6*6 na foronya nne. Karibuni sana
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Jina: Samwel Prosper Nyoni Umri: Miaka 10 Shule: Olimpio Mtoto huyu amepotea. Alikuwa anaishi mabibo na huko ndiko alionekana mara ya mwisho. Alikuwa amevaa t-shirt ya kijivu na kaptula ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Culture Shoes Culture Shoes
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Nauza mabati ambayo nimekwisha yatumia na yanafaa kwa ajili ya kutengenezea mabanda. Mabati yapo kama 60 mita tofauti to. Yapo savei mwenge. Nipigie 0682540067
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Culture Shoes Culture Shoes
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Ni Octoplus Box inaweza kuflash Na Kutoa Loki Samsung, Lg, Huwaei, Sony Ericson za aina zote Ni NCK BOX inatoa Loki na kufash Nokia, Samsung,Htc,Huwaei, Tecno, nk za inatoa Loki zote Bei kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0717 022737
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiwanja chenye hati sq mita 3968 kimepimwa kisheria na hati ipo kiwanja kina uzwa 120m inaruhusiwa kulipa kwa installments karibun piga 0656436662 Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa mwenye uhitaji wa vifaa vya maabara au kemikali, zinapatikana kwa bei nafuu. kwa mawasiliano 0655674900
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana JF, Shamba la Miti aina ya Pinus Patula (P. patula) yenye umri wa miaka 8 na ukubwa wa hekari 35 (hekta 14). Lipo Mkoa wa Iringa katika Wilaya ya Mufindi kijiji cha Mapanda...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani wana
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Ipo ktk hali nzuri,0658 327429,dsm
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Ipo ktk hali nzuri kabisa,dsm,0658327429.
0 Reactions
0 Replies
755 Views
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS: Gari linauzwaa: . Aina : Carib . Namba B . Cc 1200 . Bei Tshs 3,300,000/= Lipo Mlimani city Savey . Lipo vizuri haina tatizo Contact: 0785-074040
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta MC, Video Camera, Ukumbi, Mapambo n.k tufanyaje biashara ya matangazo. Hzo picha hapo chini namna ya matangazo yakavyoonekana kwenye website wanaJF. Ni bure kwa mwaka huu wote, kama wewe...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Inuzwa nissan homy van daladala IPO katika hali nzuri Wasiliana 0626744668
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajamii nawasalimu. Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 176 kinauzwa maeneo ya KEKO magurumbasi A karibu na KEKO Madawa. Kiwanja kina hati miliki halali. Ukubwa wa kiwanja unaweza kujenga...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
VIWANJA NYENYE SIZE TOFAUTI TOFAUTI SASA ZINAPATIKANA CHAMAZI - MBANDE BEI NI MAELEWANO NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO.KUTEMBELEA NI BURE NA WAKATI WOWOTE....ENEO LIMEPIMWA IKO ENEO PLAT KABISA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…