Janamani. Mie nimehamia moro.
Napenda kujau wapi nitapata kiwanja cha kujenga nyumba maeneo ya msanvu,kihonda, na sehemu zingine karibu na mjini Morogoro.
Nitataka kiwanja chenye eneo la 30*30 Msq kwenda juu. Mwenye kuwa na viwanja basi aniambie
Mh, usije uka-block hii namba baada ya kuingiza watu mkenge, umejuaje kuwa kuna viwanja maeneo hayo bila ya kufanya survey?viwanja vipo kihonda ,mazimbu,bigwa,nanenane na maeneo mengine mengi tu ya karbu na mji..nitafute kwa namba hii 0659558070..
Jaman labda yeye kaz yake ni ya udalali so lazima atajua sehemu nyingiMh, usije uka-block hii namba baada ya kuingiza watu mkenge, umejuaje kuwa kuna viwanja maeneo hayo bila ya kufanya survey?
Nauza Kiwanja changu ukubwa wa 30x35 mita, bei 8M tu, pungufu unaongea. Kipo kihonda kilimanjaroJanamani. Mie nimehamia moro.
Napenda kujau wapi nitapata kiwanja cha kujenga nyumba maeneo ya msanvu,kihonda, na sehemu zingine karibu na mjini Morogoro.
Nitataka kiwanja chenye eneo la 30*30 Msq kwenda juu. Mwenye kuwa na viwanja basi aniambie
K/Kilimanjaro sehemu gani?Nauza Kiwanja changu kilichopo kihonda Kilimanjaro, bei ni milioni 8 tu, punguzo unaongea. Kina ukubwa wa futi 30x35.