laurent katema
Member
- Dec 22, 2015
- 32
- 9
Ni toyota mark ii grande 1G FE haina matairi tu gari ni nzima ipo mbeya Tazara, bei ni million mbili tu.Mawasiliano 0714374155/0753199179
Miss chaga naona unataka ujikomboe humovibali vyote vimelipiwa ?
vibali vyote vimelipiwa ?
aiseeHii gari inadaiwa motor vehicle licence jumla ya siku 971 sawa na MIAKA 2 NA SIK 241
ndiyo nina robo ya hiyo aliyotajaMiss chaga naona unataka ujikomboe humo
ndiyo nina robo ya hiyo aliyotaja
sawa mkuuHiyo uliyonayo labda ukanunue matairi used, unakusanya kidogo kidogo, baadae unafanya assemble tu.
sawa mkuu
tyre cover ndiyo nini?Mi nitakuuzia tairi cover.