Generetor inahitajika

SIM

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
1,795
1,302
Habari zenu waungwana, nahitaji Generetor used yenye uwezo wa kiwasha tv receiver radio computer na taa kama 5 hivi bajeti yangu 150,000. ikipatikana moshi arusha itakuwa poa zaidi mimi napatikana moshi, kwa mwenye nayo nitafute 0715555849
 
Ninayo Inaweza Sasha Nyumba Kubwa 2 Bado jipya Lina miez mitatu sasa linawasha nyumba kubwa mbil ikiwa na TV fen friji taa n.k laki 3 Nakupaaa
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Ninayo Inaweza Sasha Nyumba Kubwa 2 Bado jipya Lina miez mitatu sasa linawasha nyumba kubwa mbil ikiwa na TV fen friji taa n.k laki 3 Nakupaaa
Asante mkuu nahitaji dogo kulingana na bajeti yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom