L lawyer2 JF-Expert Member Dec 31, 2015 224 67 Mar 18, 2016 #1 Salaam wadau...nauza Mark X nimeitoa jana port..Pearl white colour..full option.Bei 17.6.Kwa mawasiliano 0689900000
Salaam wadau...nauza Mark X nimeitoa jana port..Pearl white colour..full option.Bei 17.6.Kwa mawasiliano 0689900000
Fuga Kisasa Senior Member Jan 16, 2016 165 91 Mar 19, 2016 #2 Kwanini umeagiza na kuamkua kuuza? Umegundua ina tatizo gani?
Yimakatso JF-Expert Member Jul 11, 2015 6,963 9,307 Mar 19, 2016 #3 Uliiagiza kwa ajili ya kuuza au kuna kasoro umegundua?kuwa mkweli ndugu biashara itafanyika.