Natafuta Tax consultant

Natafuta Tax consultant

Coachella

New Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Habari

Natafuta tax consultant kwa ajili ya kampuni iliyofunguliwa hivi karibuni preferably someone with experience dealing with start ups.
 
Hongera sana mkuu kwa kufiria mambo ya kodi na challenges za start up, I am in the same boat sema focus yangu yote nimeiweka kwenye kuincrease sales. Ushauri wangu kama biz yako haujainvest lots of millions unaweza tumia washkaji{final year} wa chuo cha kodi cha TRA then as you grow ndio unaanza kuconsult reputable firms
 
Una-promote ukanjanja?
 
Una-promote ukanjanja?
labda uminielewa vibaya lakini kwa kifupi nilichomshauri ni cost cutting kwa sababu final year wa chuo cha kodi anayo basic understanding ya kodi zote zinazotakiwa kulipwa na kampuni and how to file them, unless mdau hapo juu biashara yake ameinvest lots of millions na budget ya top notch consultants yupo tayari kuilipa despite the fact kwamba biashara yake bado haija break even
 
Mwanafunz wa mwaka wa mwisho is not a consultant,kuna baadh ya returns zinatakiwa zifanyw na cpa-pp
 
sidhani,kuwa tax consultant sio lazima uwe na ACPA-PPS, UKIWA ACPA-PPS maana yake wewe ni external auditor,kuna watu nawajua ni ACPA ambao ni tax consultant, shahada au equivalent ya vitu kama uhasibu ,tax or etc unaweza ukawa tax consultant,
 
Hongera sana mkuu kwa kufiria mambo ya kodi na challenges za start up, I am in the same boat sema focus yangu yote nimeiweka kwenye kuincrease sales. Ushauri wangu kama biz yako haujainvest lots of millions unaweza tumia washkaji{final year} wa chuo cha kodi cha TRA then as you grow ndio unaanza kuconsult reputable firms

Asante kwa ushuri. Una yeyote you can recommend?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom