Kuna Uncle wangu anatafuta mshitiri wa eneo lake lililoko Mtoni Kijichi
Kama ungependa kuwa mshitiri wa eneo hilo basi tuwasiliane kwa maelezo ya kina
Lina ukubwa wa 34x18 na ameshaweka banda...
Wanajamvi habari za asubuhi,
Leo nimeibuka na kuomba msaada wa mrejesho juu ya bei za vyumba hapo mbinga mimi ni mgeni hapo napenda chumba chenye self contained au kingine kila kiwe kizuri wakuu...
Habari wanaJF, offa kabambe kwa watu wanaofanya biashara ya mambo ya sherehe kama vile mc, mapambo, mavazi, n.k. Offa ni mwaka mmoja bure tembelea website Nahitaji::Home. Karibuni wote kutangaza
Habari zenu wadau Ni matumaini yangu kua mu wazima Na mnaendelea Na majukumu ya Kila siku .
Nina uhitaji wa tv orijono Kati ya aina hiz lg ,Samsung, au Sony Ila iwe Ni mpya kabisa je itakua Ni...
The company provides different ICT solutions to all customers. We sell different products based on new technology with advanced quality. We also provide customer care to all of our customer who...
office ina vyumba vitatu ipo kwenye mazingiraa mazuri na salama ulinzi upo wa kutosha ipo karibu na City style Hotel hapa Dar es salam na pia karibu na kituo cha daladala cha Mawasiliano. Kwa...
Ninapangisha frem mbili kwa pamoja, njia ya Tangibovu-Goba, zinafaa kwa mini-supermarket. Tayari nilikuwa nimeshaweka shelf kama picha zinavyoonesha.
wasiliana kwa simu +255743831889 au PM kwa...
Model ni sony vaio model pcg-61a11l
Pamoja na spiker moja ya upande wa kulia..
Kwa sasa napatikana kigoma yeyote anaehusika na hii makitu tuwasiliane
Namba ni 0783444324, unaweza ukanipata pia...
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Hard disk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa...
Habari wadau
Sabuni za kigoma zmetengenezwa kwa mawese
Ni nzuri hazikati povu kwenye maji ya chumvi
Zinapatikana kwa bei nafuu
bei ni kuanzia ;
1800
1700
1600
Kwa mche
Ukiwa interested ni PM
Kiwanja kipo maeneo ya Mbweni beach, Kuna Boy kota pembeni, Ni jirani Na nyumba ya Joti anapojenga, ni mwendo wa dakika 30 kufika beach! kina ukubwa wa mita 40 kwa mita 30, kiwanja kina hati ya...
Habari Zenu Wadau wa Jamii Forum!
Mfugaji wa Kuku wa Kienyeji.
Nauza mayai ya kienyeji Trey moja 15,000 kwa mteja wa rejareja na kwa mteja wa Jumla yaani kuanzia trey 10 kwa siku kwenda mbele...
Hizo ni baadhi ya kazi zetu,tafadhari njoo na wewe tukuhudumie uwe katika mtandao wa wateja wetu wa nguvu.Bei zetu ni rahisi saana kulinganisha na huduma itolewayo.
Piga simu namba 0655541948...
#Eneo la KIWANJA sqmts 400
#ipo mbezi beach jogoo upande wa kushoto ukitokea mwenge;300 metres from Africana bagamoyo road
#4bedrooms semifinished house inahitaji semifinishing kwasasa INA umeme...