Wenyeji wa wilaya ya Mbinga naomba msaada

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wanajamvi habari za asubuhi,

Leo nimeibuka na kuomba msaada wa mrejesho juu ya bei za vyumba hapo mbinga mimi ni mgeni hapo napenda chumba chenye self contained au kingine kila kiwe kizuri wakuu na wenyeji wa mji.

Naomba msaada waungwana.
 
Back
Top Bottom