Tusaidizane jamani .... Basi nzuri mwanza kwenda Dar ni ipi?!?
Umenikumbusha kabla ya Kikwete kuchukuwa Urais wa Tanzania hali ya barabra ilivyokuwa mbaya ilifikia mpaka ukitoka Mwanza kuja Dar na ukiwa hutaki usumbufu wa kulala maporini inabidi upitie Kenya.
Katufanya leo tunaringa kuchaguwa basi ipi bora siyo tena route ipi bora.
Kikwete katutoa mbali sana kwa muda mfupi sana.
Tutamkumbuka daima.
Really? Kikwete itakuwa ni tajiri sana kama ile hadithi ya SIKUELEWI... mpare wa watu haeleweki yeye anadhani kuna mtu mwenye mali mengi ndio anaitwa sikuelewi.Umenikumbusha kabla ya Kikwete kuchukuwa Urais wa Tanzania hali ya barabra ilivyokuwa mbaya ilifikia mpaka ukitoka Mwanza kuja Dar na ukiwa hutaki usumbufu wa kulala maporini inabidi upitie Kenya.
Katufanya leo tunaringa kuchaguwa basi ipi bora siyo tena route ipi bora.
Kikwete katutoa mbali sana kwa muda mfupi sana.
Tutamkumbuka daima.
Kwani yeye ndiye alitoa pesa za kujenga barabara? Mi nawapongeza wahisani na walipa kodi wenzangu kwani pesa zao ndio zimetumika kujenga barabara... sio huyu air msoga (rais kimeo kati ya wote)Umenikumbusha kabla ya Kikwete kuchukuwa Urais wa Tanzania hali ya barabra ilivyokuwa mbaya ilifikia mpaka ukitoka Mwanza kuja Dar na ukiwa hutaki usumbufu wa kulala maporini inabidi upitie Kenya.
Katufanya leo tunaringa kuchaguwa basi ipi bora siyo tena route ipi bora.
Kikwete katutoa mbali sana kwa muda mfupi sana.
Tutamkumbuka daima.
Umenikumbusha kabla ya Kikwete kuchukuwa Urais wa Tanzania hali ya barabara ilivyokuwa mbaya ilifikia mpaka ukitoka Mwanza kuja Dar na ukiwa hutaki usumbufu wa kulala maporini inabidi upitie Kenya.
Katufanya leo tunaringa kuchaguwa basi ipi bora siyo tena route ipi bora.
Kikwete katutoa mbali sana kwa muda mfupi sana.
Tutamkumbuka daima.
I I quote nzalendo "
I
Kila kitu watu mnadhani kisiasa..
huu ni ugonjwa kama ''sex maniac''..huku unajulikana kama ''IAD''
N
Nnaona yamekuingia na huna la kujibu umebaki kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Uongozi wa Tanzania unapatikana bila siasa?
Really? Kikwete itakuwa ni tajiri sana kama ile hadithi ya SIKUELEWI... mpare wa watu haeleweki yeye anadhani kuna mtu mwenye mali mengi ndio anaitwa sikuelewi.
Kikwete has done nadaaa! (He rob every single penny in my pocket, he just gave us 10 years of Prada to Nada) to this country.
Kodi zetu chache zilizosalia (crumb) ndio zimefanya vijimiradi vichache kwa hisani ya watu weupe.
Kikwete is just another ferry tale & wishfull politician aliyeokota dodo chini ya muarobaini.
Hutaki we mkaidi, na utapigwa tuuu...maana hakuna jinsi sasa
Kwani yeye ndiye alitoa pesa za kujenga barabara? Mi nawapongeza wahisani na walipa kodi wenzangu kwani pesa zao ndio zimetumika kujenga barabara... sio huyu air msoga (rais kimeo kati ya wote)
Celebtricity.com
Walisoma hao hata kuandika fairy tale na wishful hajui!!!! Kikwete ni another level= fairy tale
= wishful
Kwanza ungeanza kwa kujifunza kutumia lugha za watu ipasavyo.
Kikwete ndiye Rais bora kuliko wote wa kabla yake katika kila nyanja lakini mnaomchukia tunajuwa sababu zenu ni za kijinga kama mlivyo wenyewe, hakuna zaidi ya uhasidi tu wa kuwa ni fulani na si fulani.
Umenifurahisha, najifunza lugha za watu...thank you for corrections...But that is not an issue here.....issue ni wewe kutaka kutuaminisha kuwa Kikwete a.k.a bolizozo viji maendeleo alivyotelekeza ni kwa pesa zake za mfukoni.= fairy tale
= wishful
Kwanza ungeanza kwa kujifunza kutumia lugha za watu ipasavyo.
Kikwete ndiye Rais bora kuliko wote wa kabla yake katika kila nyanja lakini mnaomchukia tunajuwa sababu zenu ni za kijinga kama mlivyo wenyewe, hakuna zaidi ya uhasidi tu wa kuwa ni fulani na si fulani.
Umenifurahisha, najifunza lugha za watu...thank you for corrections...But that is not an issue here.....issue ni wewe kutaka kutuaminisha kuwa Kikwete a.k.a bolizozo viji maendeleo alivyotelekeza ni kwa pesa zake za mfukoni.
Hata kama una mapenzi naye, just be subjective and not objective...and by the way scorning doesn't piss me off.
Haya mwanaume wa Dar, karibu kwa busati.
Ila acha tabia za mwalimu wa chekechea...naona inaku-affect sana.

kuna kitu ndani ya Kikwete tutakuja kukiona siku si nyingiKwani wote wa kabla yake hawakuwaona hao wahisani na walipa kodi? Mbona hawakufanya na wakawa wanatutukanisha nchi jirani, kuwa nyie vipi, kwenu hakuna barabara mpaka mpitie huku?
Hakuna Rais aliyefanya zaidi ya Kikwete Tanzania hii, nyanja zote na mtakufa navyo vijiba vya roho. Kila siku mtamkumbuka na kwa kuwa hamlioni baya mtakuja kubwabwaja na kuhororoja kwa roho mbaya tu.
Toto la Msoga linastahili sifa, ukipenda usipende huo ndiyo ukweli.
Fikiri.
kuna kitu ndani ya Kikwete tutakuja kukiona siku si nyingi
Ubora tu hakuna zaidi.
Kuna kila uwezekano atakuwa ni next UN Secretary General.
Hakuna kizuizi labda asitake yeye mwenyewe tu.
Unajuwa kuwa Kikwete ndiyo mwenyekiti wa watu "most influential" duniani?