Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,079
Nyumba inauzwa Mwanza eneo la Busenga/Cocacola. Nyumba ina 3 bedroom, kimoja master, public toilet ndani, library, jiko, dining, sittingroom, store, Pia kuna maji na umeme, kuna eneo kubwa la ziada. 15 Minutes kwenda Mjini. Karibuni wateja contact 0762226973. Hakuna udalali, wahi mapema upate nyumba ya kisasa