Nyumba 3 zinauzwa Mwanza 85mil

Jul 18, 2012
69
25
Nyumba 3 zinauzwa Mwanza bei 85ml
contact: 0768900863

Ziko katika eneo moja mraba 40 kwa 40 ziko Mwanza nyuma ya kiwanda cha coca cola karibu na mnada wa ng'ombe.

Nyumba kubwa ya kwanza ina vyumba vitatu kimoja ni master bedroom,stoo,jiko,public toilet kwa vyumba viwili na sebule.

Nyumba ndogo ya pili ina chumba kimoja ambacho ni master bedroom,jiko na stoo.

Nyumba ya tatu haijaisha kama inavyoonekana.
1459319416821.jpg
1459319431130.jpg
 
Unless location iko hovyo, ila bei iko chini sana,
Kama huna haraka zigawe uuze tofauti tofauti! Ni ushauri tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom