Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kipo eneo la mji mdogo wa kikatiti, Barabara ya Arusha-Moshi ni baada ya kupita maji ya chai kama unaelekea Moshi. Kina ukubwa wa 748 sqm( 22x34m). Kipo mita 400 kutoka Barabara Kuu. Maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunauza bati za kupaulia nyumba zilizo imara na zisizopauka kutoka kampuni za Alaf, Dragon,Sun share na Afrina, call 0713283760
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shamba la ekari tatu linauzwa lipo Kidai Mlandizi, bei ni million tisa halina mazao.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Natafuta sehemu ambapo nitanunua korosho kwa bei ya jumla hapa Tanzania
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari Kuna gari linahitaji kuingia ubia wa kupakwa rangi gari kwa ajili ya matangazo ya biashara kutoka kwenye kampuni Tanzania kwa mwaka
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninauza fujitsu laptop AH531 Lifebook Windows 10 -Processor: Intel(R) Core(TM) i5-2410M CPU @ 2.30GHz -RAM; 4.00GB -Dsck; 500GB -System type; 32-bit Operating System x64-based processor Ipo...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Wengi wamegundua wallpapers ndo mpango Nyumba inakua na muonekano amazing Zipo za kutosha sasa tunakufikia mteja with Upana 0.53cmx10m=55,000tshs Jumla 50,000tshs Call/whatsap #0713691101 /...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale ambao wanauza laptop naomba kujua plz na pia wekeni sifa za laptop ya hali nzuri Pia nataka kununua RAM napataje ndugu maana nataka ya GB 1000 yaan Terra bite 1
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samsung j5 350000 Samsung s4 350000 Huawei p8 light 370000 Samsung j1ace 170000 Samsung s5 450000 IPhone 6s M1.2 Kwa biashara Text/call/whatsapp me (0673260293)
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nauza samsung s2 kwa laki na 10 ina 16gb na 8mp nchek 0759022981 kama upo interested. .nipo kino
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Wakuu , tunatafuta Trailer yeyote Semi trailer(35 tons) au pulling trailer (25 tons) ya kununua bila kichwa(horse) used ilioimara hasa ya spring hata ya booster tutafikilia, - iwe ina...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa ARUSHA MJINI TU anae hitaji maziwa fesh ya ng'ombe kuanzia lita50-100 kwa shilingi 1300 kwa lita anitafute 0759547047.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimekuwa nikijiuliza sana kuhusiana na hizi dawa za ngvu za kiume zinazotangwa kila kukicha ktk magazeti hasa ya udaku na michezo.. " DAWA HII KILELENI KWA DAKIKA 30" kuutafuta mshindo wa kwanza...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Salaam...wadau nauza gari hii GX100..1998 Model special edition.Iko katika hali nzuri sana.Body kit na trip tonic gear,sun roof..DVD na mziki mkubwa.Bei 5.6.Mawasiliano 0659300000m
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu 0769881984.0783085858.0715075858
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, naishi Dar. Nataka kuanza mradi wa kufuga nguruwe, ntawafugia bagamoyo. Nahitaji kuanza na nguruwe kumi, kama kutakuwa na mtu yeyote yule atakayekuwa anauza au anamfaham mtu anayeuza hapa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
cisco router 2811 series with 2 FE port (FE 0/1 & FE 0/0) Bei; 700usd
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Kwa yeyote anaejua muuzaji au anauza leather skiving machine anijuze. Number 0719616585
0 Reactions
0 Replies
783 Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wanyama hao wanahitajika tayari kwa kufugwa mkuranga, mkoa wa pwani 0629141259
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu!!! Hivi karibuni niliibiwa adapter ya Laptop aina ya ASUS MODEL X200MA...output ya adapter ni 19V DC, 1.75A, 33W. Anaye jua wapi naweza pata adapter hii please naomba ani pm. Maana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…