Shamba linauzwa Mlandizi

clemence

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
594
212
Shamba la ekari tatu linauzwa lipo Kidai Mlandizi, bei ni million tisa halina mazao.
 
ulipaswa kutoa sifa za hilo shamba mfano liko karbu na barabara au nguzo za umeme na vitu kama ivo kushawishi. Anyway ndo kule kwa wamasai au?limepimwa?linafaa kwa nini? Maji yanapatikana kule? Ikiwezekana namba yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom