Willy T JF-Expert Member Mar 21, 2016 253 91 Apr 5, 2016 #1 Wale ambao wanauza laptop naomba kujua plz na pia wekeni sifa za laptop ya hali nzuri Pia nataka kununua RAM napataje ndugu maana nataka ya GB 1000 yaan Terra bite 1
Wale ambao wanauza laptop naomba kujua plz na pia wekeni sifa za laptop ya hali nzuri Pia nataka kununua RAM napataje ndugu maana nataka ya GB 1000 yaan Terra bite 1
Mzimu wa Kolelo JF-Expert Member Apr 16, 2013 2,711 8,012 Apr 5, 2016 #2 mweee unataka ram gb1000 au unamaanisha HARDDISC mkuu
Mzimu wa Kolelo JF-Expert Member Apr 16, 2013 2,711 8,012 Apr 5, 2016 #5 ya laptop au desktop au unataka xteno hdd