Tunatafuta trailer ya kununua

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Oct 26, 2014
115
66
Wakuu , tunatafuta Trailer yeyote Semi trailer(35 tons) au pulling trailer (25 tons) ya kununua bila kichwa(horse) used ilioimara hasa ya spring hata ya booster tutafikilia,

- iwe ina hali nzuri ya kuweza kufungwa kwenye gari mpya
- Iwe ina vibali vyote halali ikiwepo na registration CARD Original
- Bei yategemea hali halisi yake

Kwa yeyote alionyo ani PM au aweke taarifa hapa wazi
 
Nazijua sana kwetu bei iko juu haitalipa , wengi wao ni kuanzia Usd 26,000= up to usd 33,000= karibia Tsh 60 mln

sisi tunatafuta angalau Tsh 32 mln
Nenda Ada estate,mtaa wa dokta Andrew IPO moja....utaiona....kama deal ni serious syo story ni pm contact zako nkuunganishe na mwrnyewe
 
Back
Top Bottom