Olumolongez
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 818
- 299
Kiwanja kipo eneo la mji mdogo wa kikatiti, Barabara ya Arusha-Moshi ni baada ya kupita maji ya chai kama unaelekea Moshi. Kina ukubwa wa 748 sqm( 22x34m). Kipo mita 400 kutoka Barabara Kuu. Maji, umeme zinapatikana.Kinafaa kwa makazi.Bei 20,000,000/= pungufu tunaongea.
Contact 0787145371.
Contact 0787145371.