Nauza viwanja viwili vyote vinaukubwa Wa 20/20....vipo mbezi malamba mawili...vinafikika kwa urahisi....bei milioni 8.5 kwa kimoja.....tuwasiliane 0712823376
-Pata Digital Camera ufurahie kupiga picha na mpenzi,ndugu,jamaa na marafiki. pia inauwezo mzuri wa ku-record videos
-Brand: SONY (Brand inayoaminika zaidi)
-Condition: Used (But in good condition...
I am an overseas based Tanzanian builder, I am interested in returning to Tanzania and carrying out the same business, I would like to make contacts with people in this field, who can give me...
Nyumba ipo kisemvule nje kidogo ya dar ina master na sitting room na choo cha ndani na frem moja pia kuna uwanja wa kujenga nyumba kubwa eneo ni tulivu.bei ni milion 26 nichek 0718097972 kwa...
Nauza laptop yangu aina ni HP Compaq Presario CQ 50, ina 2GB Ram, Speed 2GHZ, na 150GB. Haikai na chaji, pia feni ni mbovu .bei laki moja na nusu. Pungufu unaongea
Nahitaji dishi, zamani yalijulikana kama ungo, la saizi ndogo (si yale makubwa utadhani nyumba ni studio ya kurushia matangazo). Ni vyema ukaweka bei na kampuni iliyotengeneza.
Maker : TOYOTA
Name : HARRIER
Mileage : 8,000 km
Engine size : 1980 cc
Drive : 2WD
Steering : Right
Transmission : Automatic
Color : BLACK
Manufactured year/month : 2014/10
Door : 5
Seat...
Wadau nauza laptop ipo kwenye hali nzuri ila inatakiwa kubadilisha kioo
Pamoja na mlango wa cd
*specifications *
HDD 320
PROCESSOR 2.1 CORE I5
RAM 6GB
BEI 280000