Pi Network
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 290
- 319
Kuna vyombo vya aina mbalimbali kama vile (mashine ya kuchanganya na kupoza juis, jiko kubwa la kuchomea nyama, jiko kubwa la gesi kwa ajili ya kukaangia chips pamoja na mtungi wake, masufulia makubwa kwa madogo, meza pamoja na viti vyake, majiko makubwa kwa madogo, na vingine vingi.
Nipo Tabata, kwa anaehitaji awasiliane nami kwa namba (0784123034).
Nipo Tabata, kwa anaehitaji awasiliane nami kwa namba (0784123034).