Nina kuku wa nyama nauza bei maelewano ni kutokana na wingi wa kuku utakaochukua ila kuku wanaukubwa wa wiki sita wapo kuku zaidi ya 500 na bei inaanzia 5500 mpaka 6000 wapo dar Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.