Tuwasiliane tufanye biashara,Line hizo zote zinapatikana,Upo Mkoa gani?Nina uhitaji wa laini za M-pesa na T-pesa nahitaji kununua kwa m2 maana mchakato wa Tin na lesseni kidogo utanichelewesha
Mpesa ipo laki moja na 30 tuuNipo Dar ndugu hebu njo pm
Po mwanza kaka nitazipata vipi, hasa mpesa?Mpesa ipo laki moja na 30 tuu