Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Salaam wanajukwaa....natafta kifaa cha umeme ila sikijui jina lake...nitaeleza kazi yake kisha mnaojua naomba mnijuze jina lake na kama inawezekana...wapi naweza kukipata kwa dsm.
Kifaa hiki hufungwa baada ya mita ya tanesco na wakati mwingine hata baada ya main switch. Kwa vyovyote vile kifaa hiki hufungwa kabla ya nyaya za kusambaza umeme ndani ya nyumba.
Kazi yake kubwa ni kuzima umeme pale ambapo mtu ndani ya nyumba atawasha kifaa kinachotumia/ au kuvuta umeme mwingi kwa mara moja...mfano hita au jiko la umeme.
Kifaa kitazima umeme...hivyo kulazimika kwenda kuwasha tena. Nia hasa ni kudhibiti matumiz ya vifaa vinavokula umeme mwingi kwenye nyumba za upangajini.
Nafahamu kuna option ya kufunga mita ndogo...nadhan wanaita submeter..ila mie napendelea hiko kifaa nilichoelezea hapo juu.
Mwenye ujuzi....naomba anijuze au anishauri...njia mbadala ya kifaa tajwa au submeter.
Nawasilisha!