Anayehitaji fundi simu kwa computer

Mzalauliwa

Member
Jul 31, 2014
89
30
Habari wana jamvi? naitwa mkilinga nina ujuzi wa kutengeneza simu ikiwa pamoja na
-mobile repair
-mobile flashing


ninaomba ushilikiano kwa yeyote mahari popote mwenye kutaka kufanya kazi na mimi tuwasiliane
vifaa vya kuanzia ninavyo.


Kinachotakiwa uwe na site nzuri ya kufanyia kazi.
isiwe kijijini ambako hakuna mzunguko wa biashara.


kama ni wewe au ndugu yako anatafuta watu wa namna hii tuwasiliane kupitia namba 0744651999
 
Back
Top Bottom