Habari wakuu.
Nafundisha accounting Packages mbalimbali kwa watumiaji na supporters. Hii ni pamoja na Sage evolution, Pastel Partner, premier payroll, Tally na Sage HR.
Laki moja kwa kila kozi...
Habari zenu wapendwa?
Samahani naomba kujua wapi naweza kupata mashine ya kufyatulia tofali na mixture na zinauzwaje? Nipo Dar. Mwenye ufahamu anisaidie maelezo. Asante
Habari wadau mimi nipo dar maeneo ya mbagala natafuta soko la kuuza kuku kwa jumla na rejareja kwa bei ya maelewano...tafadhali kama wahitaji naomba tuwasiliane kwa 0676040383
Wakuu nichukue fursa hii kuutangazia umma wa hii Jf kwamba, Tunatengeneza mifumo mbalimbali kama vile website, Students Management system, forums, Hospital and Human Resource Management System...
Wakuu habari zenu kwa mtu yeyote mwenye taharifa za viwanja au mashamba ya bei rahisi kwa upande wa bagamoyo huko tuwasiliane inbox
Natanguliza shukrani zangu kwenu
TANGAZO LA KUUZWA KWA VIWANJA!
MANISPAA YA MOROGORO IMETOA KIBALI KWA KAMPUNI YA BAYPORT KUUZA VIWANJA VYAKE VILIVYOPO NJE KIDOGO YA MANISPAA YA MOROGORO KM 4 TOKA ILIPO MIZANI YA MAGARI,VIWANJA...
Nyumba ipo 16 toka feri ya magogoni na 150meters toka barabara kuu, ina vyumba 2 vikubwa pamoja na sitting room kubwa kama inavyoonekana , jiko, choo, na bafu, kisima kipo, umeme wa uhakika upo...
Nyumba nzuri ya kisasa inapangishwa ipo Kigamboni - Mikwambe Dar ina sifa zifuatazo:-
Vyumba 2 vikubwa vya kulala , sebule na dining kubwa sana, jiko zuri la kisasa, umeme wa solar ( 1kv solar...
Kama unahitaji elimu nzuri, malezi mzuri, maadili mazuri kwa mwanao njoo Intel Schools iliyopo jijini Arusha. Ni English medium Schools. Kuna Shule za Pre na Primary kwa Day and Boarding. Ada ni...
Mimi ni mtumishi wa umma nimehamishiwa kigoma wilaya ya kibondo.nahitaji nyumba ya kuishi kwa anayejua au kwa dalali aliyekaribu tafadhani ni PM natanguliza shukrania