Wataalamu waliobobea katika kutengeneza mifumo ya computer

IT PROFESSIONAL

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
228
95
Wakuu nichukue fursa hii kuutangazia umma wa hii Jf kwamba, Tunatengeneza mifumo mbalimbali kama vile website, Students Management system, forums, Hospital and Human Resource Management System, Apps,.nk

Chochote unachotaka, Pia tunadesign blogs na kujiunga na AdSense kwa yoyote anayehitaji tuwasiliane kupitia 0687-535650
 
Wakuu nichukue fulsa hii kuutangazia umma wa hii Jf kwamba,Tunatengeneza mifumo mbalimbali kama vile website,Students Management system ,forums,Hospital and Human Resource Management System ,Apps ,nk Chochote unachotaka,Pia tunadesign blogs na kuiunga na AdSense kwa yoyote anayehitaji tuwasiliane kupitia 0687-535650
Gharama za school management software inaanzia kiasi gani ?
 
Gharama za school management software inaanzia kiasi gani ?
Hii inategemea ni shule gani,na unatupa maelekezo yako unataka ikufanyie nini,Mfano kwenye chuo mtu anaweza kutaka software imanage mpaka ishu za payment,kwahiyo gharama inategemea kuwa ni shule ya aina gani na unataka ikufanyie nini.
 
Mfano, ni private school(primary) ndogo tu, swala la payment, assessment record na report pia ziwepo, ngapi hapo?
 
Back
Top Bottom