Nyumba ipo 16 toka feri ya magogoni na 150meters toka barabara kuu, ina vyumba 2 vikubwa pamoja na sitting room kubwa kama inavyoonekana , jiko, choo, na bafu, kisima kipo, umeme wa uhakika upo, kuna gererator ya 1 kva. Pia nje kuna green house .
bei ni 350,000/= kodi ya miezi 6.
Tuwasiliane 0657145555.
mi ni dalali wa nyumba hii.
bei ni 350,000/= kodi ya miezi 6.
Tuwasiliane 0657145555.
mi ni dalali wa nyumba hii.