Plot4Sale Viwanja vinauzwa maeneo ya Manispaa ya Morogoro, Kigamboni, Bagamoyo na Kibaha!

bazoka

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
300
142
TANGAZO LA KUUZWA KWA VIWANJA!

MANISPAA YA MOROGORO IMETOA KIBALI KWA KAMPUNI YA BAYPORT KUUZA VIWANJA VYAKE VILIVYOPO NJE KIDOGO YA MANISPAA YA MOROGORO KM 4 TOKA ILIPO MIZANI YA MAGARI,VIWANJA VIMEPIMWA UNAWEZA KUNUNUA KWA FEDHA TASLIMU AU KUPITIA MKOPO TOKA BAYPORT!

VIWANJA VIPO 950 NA KILA SQUARE METER YA KIWANJA NI TSH 3,500 ENEO VINAPOPATIKANA VIWANJA PANAITWA KIEGEYA HII NI FURSA KWAKO EWE KIJANA WA KITANZANIA KUJIPATIA ARDHI ILIYOPIMWA KWA BEI NAFUU NA BILA USUMBUFU NA KUMBUKA SIO LAZIMA ULIPE FEDHA ZOTE UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KWA MAKUBALIANO MAALUMU EITHER KWA MWAKA KUANZIA MIEZI 6,12 HADI MIEZI 24!

KARIBU NA KWA MAWASILIANO ZAIDI NA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NAMI!

PIA TUNAUZA VIWANJA BAGAMOYO ENEO LINAITWA KIMARA NG'OMBE ENEO NI KM 6.5 TOKA MJINI NA KM 4 TOKA BARABARA YA LAMI SQ METER NI TSH 10,000!

NA KIBAHA TUNA VIWANJA ENEO LINAITWA BOKO TIMIZA KM 5.7 TOKA KIBAHA MJINI KWA 9,000 SQ METER!

NA KIGAMBONI ENEO LINAITWA TUNDWI SONGANI VIWANJA VIPO TSH 10,000 KWA SQ METER!

NA CHALINZE VIPO ENEO LINAITWA KIBIKI MPELA TSH 4,500 KWA SQ METER!

NB:KUMBUKA VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA VINA HATI,MODE OF PAYMENT NI EITHER CASH AMBAPO SIO LAZIMA ULIPE YOTE UNAWEZA KULIPA KWA INSTALLMENT!

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI KWA NAMBA 0766-000909 AU 0767-229338!

Asanteni!
 
Sahami sijui mahesabu nusu heka ina SQ METER ngapi?
Kwanza unatakiwa utambue kuna vitu viwili huwa vinachanganya sana watu. Kuna Hectare (Hekta) na kuna Acre (Ekari).
Hekta moja= mita za mraba 10000
Ekari moja= mita za mraba 4046
Tumia huo muongozo kupata ufumbuzi wa ulizo lako ndugu.
Asante sana.
 
kutoka msamvu mpaka kiegeya ni umbali wa km ngapi?kiwanja cha low density kikubwa kabisa kina square meter ngapi?
 
Kwanza unatakiwa utambue kuna vitu viwili huwa vinachanganya sana watu. Kuna Hectare (Hekta) na kuna Acre (Ekari).
Hekta moja= mita za mraba 10000
Ekari moja= mita za mraba 4046
Tumia huo muongozo kupata ufumbuzi wa ulizo lako ndugu.
Asante sana.
Nimekusoma kiongozi nitakutafuta
 
dah,ngoma imejamba..mkurugenzi wa kakanusha..
 
Attachments

  • baypo.jpg
    baypo.jpg
    95.4 KB · Views: 436
TANGAZO LA KUUZWA KWA VIWANJA!

MANISPAA YA MOROGORO IMETOA KIBALI KWA KAMPUNI YA BAYPORT KUUZA VIWANJA VYAKE VILIVYOPO NJE KIDOGO YA MANISPAA YA MOROGORO KM 4 TOKA ILIPO MIZANI YA MAGARI,VIWANJA VIMEPIMWA UNAWEZA KUNUNUA KWA FEDHA TASLIMU AU KUPITIA MKOPO TOKA BAYPORT!

VIWANJA VIPO 950 NA KILA SQUARE METER YA KIWANJA NI TSH 3,500 ENEO VINAPOPATIKANA VIWANJA PANAITWA KIEGEYA HII NI FURSA KWAKO EWE KIJANA WA KITANZANIA KUJIPATIA ARDHI ILIYOPIMWA KWA BEI NAFUU NA BILA USUMBUFU NA KUMBUKA SIO LAZIMA ULIPE FEDHA ZOTE UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KWA MAKUBALIANO MAALUMU EITHER KWA MWAKA KUANZIA MIEZI 6,12 HADI MIEZI 24!

KARIBU NA KWA MAWASILIANO ZAIDI NA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NAMI!

PIA TUNAUZA VIWANJA BAGAMOYO ENEO LINAITWA KIMARA NG'OMBE ENEO NI KM 6.5 TOKA MJINI NA KM 4 TOKA BARABARA YA LAMI SQ METER NI TSH 10,000!

NA KIBAHA TUNA VIWANJA ENEO LINAITWA BOKO TIMIZA KM 5.7 TOKA KIBAHA MJINI KWA 9,000 SQ METER!

NA KIGAMBONI ENEO LINAITWA TUNDWI SONGANI VIWANJA VIPO TSH 10,000 KWA SQ METER!

NA CHALINZE VIPO ENEO LINAITWA KIBIKI MPELA TSH 4,500 KWA SQ METER!

NB:KUMBUKA VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA VINA HATI,MODE OF PAYMENT NI EITHER CASH AMBAPO SIO LAZIMA ULIPE YOTE UNAWEZA KULIPA KWA INSTALLMENT!

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI KWA NAMBA 0766-000909 AU 0767-229338!

Asanteni!
Arusha Hamna? Au mtakuja lini tujiandae
 
EKA MOJA NI META ZA ENEO 4,000. Hivyo nusu ni meta za eneo 2,000 tu.
 
BAZOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOKA
Umeingia kwenye fani ya Utapeli siooooooo

Post no 9 mkurugenzi wa Bayport amekanushaaaaaaaaaaaaaa
Sasa wewe ulietoa number upigiwe ulikuwa na lengo la kuibia watu au kuwahifadhia pesa zaoo

Tena umesisitiza kwamba wawasiliane na wewe.
Sasa bAyport wanakutafuta,jelaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hiyoooooooooooooooooooooooooo
 
Duh!sasa nyie BAYPORT mmetoka kwenye kuwadhurumu walimu pale mnapowapa mikopo harafu mnawapandishia riba kinyemela sasa mnahamia kwenye halmashauri ili muweze kuwatapeli wananchi vizuri sio???
 
Halmashauri ya moro imetangaza ni 4000 kwa square meter we unasema 3500 mbona kuna walakini hapo.
Alafu hawa Bayport chart zao za mikopo na marejesho kwenye vipeperushi ni tofauti na wanavyokata.
mkopo wa mil.3 kwa 2yrs vipeperushi vimeandikwa utakatwa 109000 kwa muda wa miaka 2 tukienda kwenye utekelezaji wanakata 130,000 jipu hilo.

Ushauri wangu kama uko interested nenda halmashauri moja kwa moja.
 
Nafikiri Ekari moja=4900m². Yaani 70m² x70m²....Am stand to be corrected.
Kuna kitu watu huwa wanachanganya mkuu. Kuna Metre na Yard. Convertion unayoisema wewe ni ya 1 acre to Square yards. But in terms of square metres, 1 acre =4046 sq metres.
Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom