Naitaji c5

Naitaji c5

C5 natafuta 150k top
0719090094 namb yangu
 
Kama kuna MTU anayo C5 au C8 nicheki kwa 0656540271 used but iwe katika hali nzuri
 
c5 ila kioo kibovu nauza 40 tu ipo kwa fundi kununua kipya 90 anaetaka nipm nikupeleke uinjoy na tecno c5 kioo kiliingia maji kikazima but mashine ipo okay
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom