Welcome to Intel Schools, Arusha

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,778
Kama unahitaji elimu nzuri, malezi mzuri, maadili mazuri kwa mwanao njoo Intel Schools iliyopo jijini Arusha. Ni English medium Schools. Kuna Shule za Pre na Primary kwa Day and Boarding. Ada ni nafuu na unaweza kulipa kwa awamu tatu. Tunatoa Guarantee ya elimu kwa ada tako uliyolipa. Shule ziko maeneo ya Mjini na pia kwa Mromboo.

Namba za Simu zinaonekana kwenye Picha zilizobandikwa hapa Chini.

Karibuni



A.jpg

IMG_4156.jpg


IMG_4151.jpg
IMG_4136.jpg
 
nafkiri lilikua darasa alafu waka amua liwe bweni.. ila naona hawajatoa ubao ili wakitaki lirudi kua darasa iwezekane
 
Back
Top Bottom