successor JF-Expert Member Oct 25, 2012 3,077 6,128 Apr 26, 2016 #1 Salaam wakuu, Nahitaji TV flatscreen, nina tshs. 300,000/-. Je, naweza kupata? Ahsanteni.
Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Apr 2, 2012 1,179 318 Apr 26, 2016 #2 Fafanua mkuu unataka ya ukubwa gani maana hata pesa yako haitoshi kumhonga demu
back town JF-Expert Member Jul 8, 2015 471 365 Apr 26, 2016 #3 Flatscreen inch 32 led 400.000 but nipo morogoro
successor JF-Expert Member Oct 25, 2012 3,077 6,128 Apr 27, 2016 Thread starter #4 back town said: Flatscreen inch 32 led 400.000 but nipo morogoro Click to expand... Ni aina gani? Nipo Dodoma
back town said: Flatscreen inch 32 led 400.000 but nipo morogoro Click to expand... Ni aina gani? Nipo Dodoma
successor JF-Expert Member Oct 25, 2012 3,077 6,128 Apr 27, 2016 Thread starter #5 Nashukuru Diplomatic Imunnity said: Fafanua mkuu unataka ya ukubwa gani maana hata pesa yako haitoshi kumhonga demu Click to expand...
Nashukuru Diplomatic Imunnity said: Fafanua mkuu unataka ya ukubwa gani maana hata pesa yako haitoshi kumhonga demu Click to expand...