Wengi wamegundua wallpapers ndo mpango
Nyumba inakua na muonekano amazing
Zipo za kutosha sasa tunakufikia mteja with
Upana 0.53cmx10m=55,000tshs
Jumla 50,000tshs
Call/whatsap #0713691101 /...
Salaam wanajukwaa....natafta kifaa cha umeme ila sikijui jina lake...nitaeleza kazi yake kisha mnaojua naomba mnijuze jina lake na kama inawezekana...wapi naweza kukipata kwa dsm.
Kifaa hiki...
Nina kuku wa nyama nauza bei maelewano ni kutokana na wingi wa kuku utakaochukua ila kuku wanaukubwa wa wiki sita wapo kuku zaidi ya 500 na bei inaanzia 5500 mpaka 6000 wapo dar Karibuni
Kiwanja kipo eneo la mji mdogo wa kikatiti, Barabara ya Arusha-Moshi ni baada ya kupita maji ya chai kama unaelekea Moshi. Kina ukubwa wa 748 sqm( 22x34m). Kipo mita 400 kutoka Barabara Kuu. Maji...
Wengi wamegundua wallpapers ndo mpango
Nyumba inakua na muonekano amazing
Zipo za kutosha sasa tunakufikia mteja with
Upana 0.53cmx10m=55,000tshs
Jumla 50,000tshs
Call/whatsap #0713691101 /...
Wale ambao wanauza laptop naomba kujua plz na pia wekeni sifa za laptop ya hali nzuri
Pia nataka kununua RAM napataje ndugu maana nataka ya GB 1000 yaan Terra bite 1
Wakuu , tunatafuta Trailer yeyote Semi trailer(35 tons) au pulling trailer (25 tons) ya kununua bila kichwa(horse) used ilioimara hasa ya spring hata ya booster tutafikilia,
- iwe ina...