Natafuta chumba sebule & choo

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
Nahitaji kupanga chumba, sebure na choo kwa maeneo ya kigambon, kimara au changanyikeni. Nyumba iwe fresh, mazingira mazur. Dau langu ni laki na ishirini. Napatikana kwa 0713806766. Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom