Fursa ya Mashamba maeneo ya Kiwangwa (Bagamoyo)

KIKAZI

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,370
1,511
Habari zenu Wanajamvi?
Natumai ni wazima wa afya niende moja kwa moja kwenye ujumbe ulionipelekea kufungua thread hii.Kutokana na ongezeko la shughuli za ujasiliamali mfano kilimo na ufugaji ardhi imekua ni nyenzo muhimu katika kuwezesha ufanisi katika shughuli hizo.

  1. Napenda kuwataarifu wadau mbalimbali wanaopenda kumiliki ardhi kuna Mashamba yanapatikana maeneo ya Kiwangwa(Bagamoyo) njia ya kuelekea Msata.
  2. Bei ni Tsh 700,000/= kwa kila Heka na zipo 4Km kutoka barabara kuu ya kuelekea Msata.
  3. Hayo Mashamba yanamilikiwa na Wenyeji yani wakazi wa Msata wana hati za vijiji .
  4. Hayo Mashamba yanastawisha mazao kama vile Nanasi,Mpunga,Tikitimaji,Mahindi,
Kuna msemo unasema Little is more than nothing Asanteni sana
 
Kuna msemo unasema Little is more than nothing nawasilisha kwa mawasiliano zaidi call/sms +255 657 528 088 Asanteni sana
ASANTE KWA UJUMBE MKUU
 
hawatanithulumu hao bora kwenda kwenye serikali ya mtaa au kwa halmashauri yao ya bagamoyo ili kununua kiwanja au mashamba kwao maana wakazi wengi wanakuwa na wateja kibao kwa shamba moja halafu baada ya siku unakuwa umetapeliea
 
ASANTE KWA UJUMBE MKUU
Asante na mimi pia Mdau kwa kupata ujumbe vijana wakitanzania tuchangamkie fursa hii ya ardhi ambayo mungu ametujalia katika inchi yetu.Karibu sana MKUU.
 
hawatanithulumu hao bora kwenda kwenye serikali ya mtaa au kwa halmashauri yao ya bagamoyo ili kununua kiwanja au mashamba kwao maana wakazi wengi wanakuwa na wateja kibao kwa shamba moja halafu baada ya siku unakuwa umetapeliea
Hapana mdau ladyfurahia hivi kwa dunia ya sasa nani anaweza kununua shamba bila kupitia serikali ya mtaa kuonana na viongozi wa serikali ya mtaa na pia kujiridhisha zaidi ni lazima kutafuta majirani uliopakana nao kwaajili ya kupata taarifa yakinifu kuhusiana na umiliki wa muuzaji wa hilo eneo.Karibu sana
 
Back
Top Bottom