Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,727
Kama kichwa kinavyosomeka... Naziuza zote kwa laki 3 nanusu.... Nakupa pamoja na Sim tank 2 (lita 250 kila moja) Zinahitaji service ndogo maana hazijawaka muda mrefu kdg.... Inabid ubadili oil... Zipo Mtwara so hii ni kwa wakazi wa Mtwara