Huu ndio msimu wa kununua viwanja!

nauza viwanja

Member
Apr 28, 2016
5
1
kipindi cha mvua kama hiki ndio wakati mzuri kuchagua eneo la kiwanja, usije nunua msimu wa kiangazi ukajenga nyumba kwenye mkondo wa maji.

ni-pm nikuelekeze mahali pa kupata viwanja vizuri kulingana na bajeti yako.
 
ImageUploadedByJamiiForums1461832821.939405.jpg


Plot at Kitunda Magore kwa Mpemba Karibu na Mwanagati Sehemu imetulia. Makazi mapya/Viwanja vimekatwa kwa kuzingatia miundo mbinu yote especially barabara zenye upana wa 5Meters.


Size 50Ft X 100Ft
(15M X 30)
Kiwanja cha Kona.

Bei Tsh: 14Ml

Nguzo Moja tu ya Umeme. Maji papo yapo Unit1 sawa na 50Ndoo Tsh: 2000.


Karibuni.


8.4Kms from Banana Aviation House.
18Kms from City Center Clock Tower.


Contact: 0715-240140.

Karibuni.
 
Nauza viwanja:

1. Mbezi Juu Makonde: ni eneo very prime kwa hostel/apartments tayari kuna nyumba mbili zenye jumla ya vyumba 16 na msingi wa jengo la ghorofa mbili, eneo la ardhi ni sqm900. Bei Tshs 230M negotiable.
2. Bunju B Mabwe, kuna plots 5 za ukubwa wa sqm400 kila moja, bei kwa kila plot ni Tshs 7M negotiable.
3. Kigamboni Mwongozo Block 14 kuna plots mbili zimeungana jumla ya eneo lote ni sqm1476 kwa bei ya Tshs 45M negotiable. Ila kama ukitaka plot moja, basi unalipa nusu ya bei.
 
Back
Top Bottom