Salamu zenu wakuu!
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 26, nina Bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka jana (2015). Tatizo langu kubwa ni ajira nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta ajira lakini mpaka sasa kimya tu hapa nilipo sina hata kazi yoyote ya kuniingizia kipato wala sehemu ya kuishi hivi sasa nimehifadhiwa kwa rafiki yangu kwa muda tu, mke wake akirudi nitaondoka.
Kutokana na changamoto za maisha zinazoendelea kunikabili nimepata wazo la kuanza kujiajiri kwa kufuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya nyama na mayai naona kwamba ufugaji wa kuku unaweza kunitoa. Licha ya kuwa na hilo wazo lakini bado sina sehemu ya kufugia ikiwemo mabanda pamoja na eneo.
Nipo Dar es salaam, naombeni msaada wenu wakuu namba zangu 0758 106 501.