Mayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana kwa wingi.Trei moja yenye mayai 30 tunauza shilingi za kitanzania elfu 15 tu.Agiza na uletewe popote ulipo ndani ya Dar es Salaam. 0788-407407
Kiwanja chenye nyumba hadi rinta vyumba 4 vya kulala 2 kati ya hivyo ni masterbedroom kinauzwa. Kipo maeneo ya nanenane morogoro km 2 toka barabara kuu ya Dar moro. Kina hati kamili sqr meter 840...
Habarini wana jamvi.
Mimi mjasirilia mali ninayechipukia.
Nimeamua kutengeneza mafuta ya nazi asilia mazuri kwa ngozi za watu wote.
hayajathibitika kuwa na madhara mwilini. Yanapatikana kwa...
Je unataka kujenga kwa garama nafuu?
Unajua kiwanda gani utapata bati kwa bei nafuu,katika ubora wa bati hilo hilo
Je unajuaje gauge ya bati wakati unanunua?
Bati aina zote rangi upendazo...
natafuta gari ya kununua aina ya corrola spacio. isiwe mbovu, ya wizi au ina mgogoro wote, iwe na vibali halali vyote vinavyohitajika kisheria. Ni PM tufanye biashara
Mashine ya picha canon ikiwa pamoja na chaji yake, power bank, camera nauza kwa 580000 nakupa na wino na photo paper, mashine hii unaweza kutolea passort size, picha za kawaida unachagua rangi...
Nauza Noah Field Tourer. Ipo katika hali nzuri sana.
Specifications:
1. Make : Toyota
2. Model:Townace Noah Field Tourer
3. Eng Cap : 1998 cc
4. Odometer : 190,000
5. Year of Manuf : 1998
6...
Ps 2 inauzwa kwa laki na 30 tu, ina kila kitu.pad 2, flash gb 8 yenye games za gta..need for speed na pes new version, Memory card na adpta..kama unahtaj nchek 0655278055 nipo kno
Wakuu Ina vyumba 3 vya kulala, sitting room kubwa ya kuweka sofa seti mbili, dinning, jiko Na store, public toilets, nje Ina Caro kubwa la maji, miti mingi migomba Na michungwa na moembe ya kisasa...
Wakuu ninahitaji mkopo wa riba 25% kwa miezi 3 tu, nitarejesha yote bila kikwazo kwa sababu issue ninayotaka kufanyia iko researched na imepimwa haswaaaa..... mwenye utayari anipigie 0754459572...