Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wanakijiji wa jamii Forum,Hiki ni kijiji pendwa na watu wa kijiji hiki ni watu werevu na wanao jielewa tofauti na vijiji vingine vya kijamii. Tawa driller ni jina linalotumika kwenye kijiji...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani nipo Dodoma maeneo ya Saint John nauza viatu vya aina mbili makirikiri pamoja na flat shoes
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Kwa watu wangu wa nguvu ... Nahitaji tv chogo inch 21 ya mtumba Iwe ama in Hitachi au Sony mwenye nayo tuongee biashara . Au kwa maduka ya bidhaa hizo mjini moro au DSM,no 0679153374.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu iko pow kabsa mpya bei pow 165k. Niko dar 0654957658
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Ni wauzaji wa simu original aina zote wako musoma mjini mtaa Wa kusaga wapigie sasa kwa +255752112233
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na mada hapo juu. Kwa wale madalali ambao wapo humu, natafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu... Bajeti ni laki 5 kwa mwezi.... Iwe nyumba ya fence, na iwe modern one.... Asante....
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu Kiwanja Kinauzwa Hapa Meko Machimbo Ya Zamani Ya Mawe Kunduchi, Dar Es Salaam Mita 300 tu toka barabara kuu ya Mwenge -Bagamoyo Tayari Kuna Msingi Wa Vyumba 4, Ukubwa 20*20 Ni Bei Ni Mil...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Sabakher Wadau; Kuna Dogo Angu {wa kiume} Anakuja Hapo Piligrims College Kimara Kusoma! Sasa Kwa Gharama Za Bwen Siziwezi Ni 3.4M! So Naomba Dalali Jitokeze Hapa Au PM Unisaidie; 1. Chumba Kiwe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za jioni, Nina nyumba yangu napangisha maeneo ya mbezi ya kimara, njia ya mpigi magohe, karibu na maeneo wanaita kwa mbunge. Hii nyumba ni vyumba vitatu, sitting, dining, jiko.Chumba...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Deal ya fasta faster, boots nzur za kiume zimebaki pair mbili tu, rangi ya blue, size 43 tu.. Napatkana dodoma, bei ni 60,000 fixed.... Mteja serious tuwasiliane 0652140160
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jinsi ya kuifanya ngozi yako kuwa changa na kupunguza kuzeeka Kuzeeka kwa ngozi na jinsi ya kupunguza kuzeeka Kuzeeka ni utaratibu wa kawaida kwa mwili wa binadamu. Na hutokea kila siku kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
SAMSUNG Galaxy A8 DUOS Black color Double line Fingerprint scanner 5.7 ins 1080p screen 32GB storage with MicroSD slot 2GB Storage 16mpx main camera in EXCELLENT condition. Price TShs. 700,000...
0 Reactions
2 Replies
817 Views
40" container linauzwa shs 6,000,000 maongezi yapo kwa anayehitaji. Documents zote zipo za uhalali wake. Lipo Dar es Salaam.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu hizi nimashine za kuponda kokoto nimezitafuta mitandaoni nikapata aina hizi kuwa zinatengenezwa China hivyo nimewaletea picha hizi ili mwenye kufahamu wapi zinauzwa hapa inchini aweze...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu habari zenu, napenda kuwatangazia kuwa kuna dawa, virutubisho pamoja na Pads za kutoa sumu mwili, baadhi ya magonjwa tunayotibu ni pamoja na: 1. PRESSURE (BP ) 2. KISUKARI 3. U.T.I...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Baraza LA Uwezeshaji Tanzania NEEC limezindua mpango wa kuwawezesha vijana ambao wanaweza kuandika business plan kwa sekta mbalimbali na baada ya hapo kuwawezesha vijana wote ambao watakuwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Je unatafuta jengo la biashara kwa ajili ya Hostel, Hotel, Guest House, Nyumba za kupangisha(Serviced appartments), Hospitali, Health centre, mgahawa wenye vyumba vya kulala, Bed and Breadfast...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nashukuru nimempata mdada kupitia jukwaa hili wa kuniuzia kiduka changu cha nguo na mambo yanaenda vizuri. Karibuni kijitonyama mumuchangie, leo nina wazo hili. Kulingana na kuwa na majukumu...
3 Reactions
68 Replies
10K Views
Natafuta German Shepherd wa ukweli, mdogo nitakayekuwa naye.Breed ya ukweli. Kama kuna mwenye contacts please nipatie.
0 Reactions
0 Replies
801 Views
whats up Jf memb[emoji1]r 1. Nauza gari yenye maelezo yafuatayo a. Jina : Toyota b. Model : Carina Ti c. Muundo : Saloon d. Ukubwa wa injini: 1500 e. Rangi : nyeupe g. Mfumo: moja kwa moja h...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…