Nyumba ya kupanga Zanzibar inahitajika

usiambini

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
627
558
Natafuta nyumba ya kupanga room 4 along Malawi road yani kutoka Mtoni adi meli 7 bububu zanzibar .burget laki 150000 kwa mwez.Ata ikiwa ndani 300meter
 
Aisee,we acha utani wako weee
Nyumba bei hiyo?Kwanza hakuna watu wenye kukaak wenye nyumba zao bila kupangisha kama watu wa Njia ya Bububu aisee.
Jipange kuanzia 250,000 - 400,000 kwa mwezi na ilipwe kwa mwaka mzima,umepona miezi sita
 
Back
Top Bottom