IGP anakukaribisha Biafra kwenye uzinduzi wa mpango wa kuboresha usalama wa raia

TheMeek

JF-Expert Member
Mar 12, 2016
460
400
IGP anakukaribisha kwenye uzinduzi wa kuboresha usalama wa raia pale BIAFRA kinondoni tar 25.6.16. Mgeni rasmi ni Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
 
IGP anakukaribisha kwenye uzinduzi wa kuboresha usalama wa raia pale BIAFRA kinondoni tar 25.6.16. Mgeni rasmi ni Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Waende wao! Naogopa sijui itatoka amri gani- Wapigwe tu au wauawe tu!
 
ila huu mkutano na wenyewe ni siasa pia, vp mabomu hayatokuwepo au kuzingilwa.
 
Back
Top Bottom